Hii ni kuomba alama za vidole na picha zangu ziharibiwe. Ninakubali kwamba nitajulishwa kwa maandishi katika anwani iliyotolewa hapa chini wakati ombi litakapopokelewa na kisha tena mchakato utakapokamilika. Pia ninakubali kwamba ombi hili huenda lisikubaliwe ikiwa hali ziko nje ya mwongozo wa Sera ya Idara ya Polisi ya Victoria.